Nenda kwa yaliyomo

Bioko Norte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Bioko Norte)


Bioko Norte
Mahali paBioko Norte
Mahali paBioko Norte
Nchi Equatorial Guinea
Makao makuu Rebola
Eneo
 - Jumla 776 km²
Idadi ya wakazi (2015)
 - Wakazi kwa ujumla 299,836

Bioko Norte ni mkoa wa Guinea ya Ikweta uliopo kwenye sehemu ya kaskazini ya kisiwa cha Bioko. Mji mkuu ni Rebola . Mji mkuu wa kitaifa pia uko Bioko Norte ambao ni Malabo .

Sehemu ya Hifadhi ya Kitaifa ya Pico Basilé iko Bioko Norte.