Adelfo wa Remiremont

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Adelfo wa Luxeuil)

Adelfo wa Remiremont (alifariki Luxeuil, leo nchini Ufaransa, 670) alikuwa mmonaki abati wa monasteri dabo ya Kikolumbani huko Habend iliyoanzishwa na jamaa yake Romariki pamoja na Amato wa Habend.

Alifidia kwa machozi ya muda mrefu ugomvi wa muda mfupi [1].

Alitangazwa na Papa Leo IX kuwa mtakatifu mwaka 1049 pamoja na Romariki na Amato.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Septemba[2][3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.