Felisi wa Susa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Felisi wa Hadrumetum)

Felisi wa Susa (alifariki 434 hivi) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Hadrumetum (leo Susa nchini Tunisia).

Aliuawa kutokana na dhuluma ya Genseriki, mfalme wa Wavandali, ambaye alikuwa mfuasi wa Ario.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Februari[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Jones, Terry H (19 Februari 2017). "Saint Felix of Hadrumetum". Saints.SQPN.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Februari 2011. Iliwekwa mnamo 16 Juni 2017. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.