Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya Marais wa Zimbabwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Rais wa Zimbabwe)
Bendera ya Rais wa Zimbabwe

Ukarasa huu una orodha ya marais wa Zimbabwe:

Orodha[hariri | hariri chanzo]

# Jina
(miaka ya maisha)
Picha Muda wa Utawala Chama
1 Canaan Banana
1936-2003
18 Aprili 1980 31 Desemba 1987 (ZANU)
2 Robert Mugabe
1924-2019
31 Desemba 1987 21 Novemba 2017 (ZANU–PF)
3 Emmerson Mnangagwa 21 Novemba 2017 (ZANU–PF)

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: