Ammaar Ghadiyali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ammaar Shabbir Ghadiyali (alizaliwa 30 Mei 1997) ni mwogeleaji wa nchini Tanzania. [1] Mnamo mwaka 2012 kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto alishiriki kwenye (100 mita freestyle) ya Wanaume akimaliza katika nafasi ya 55 kati ya waogeleaji 60 na kushindwa kufuzu kuingia nusu fainali.

Pia alishiriki katika shindano la 2013 World Aquatics Championships la kuogelea kwenye urefu wa mita 200. Mwaka 2014 aliwakilisha Tanzania kwenye michezo ya Olimpiki ya vijana iliyofanyika Nanjing nchini China. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ammaar Ghadiyali". Glasgow 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-11. Iliwekwa mnamo 25 Julai 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Swimming Results Book" (PDF). 2014 Summer Youth Olympics. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 30 Julai 2020. Iliwekwa mnamo 30 Julai 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ammaar Ghadiyali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.