Andile Fikizolo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Andile Eugene Fikizolo (maarufu kama "Carot", alizaliwa 13 Mei, 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Afrika kusini anayecheza katika timu ya Golden Arrows iliyopo katika ligi kuu ya soka nchini Afrika kusini. Katika timu hiyo anacheza kama kiungo wa kati na pia kama winga wa kulia.[1][2][3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "SuperSport United midfielder Andile Fikizolo wants to score against Orlando Pirates in the MTN8". Kick Off. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-30. Iliwekwa mnamo 2023-06-10.
  2. "Premier Soccer League - www.psl.co.za - official website". psl.co.za. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Juni 2015. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2015. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Kigezo:Soccerway
  4. "Duo return to Golden Arrows for new season". supersport.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-26. Iliwekwa mnamo 2021-07-26. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andile Fikizolo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.