Argentina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
República Argentina
Jamhuri ya Argentina
Bendera ya Argentina Nembo ya Argentina
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Kihispania: En Unión y Libertad
("Katika umoja na uhuru")
Wimbo wa taifa: Oíd, mortales, el grito sagrado:
Sikilizeni mlio mtakatifu ewe ninyi wenye kufa
Lokeshen ya Argentina
Mji mkuu Buenos Aires
34°20′ S 58°30′ W
Mji mkubwa nchini Buenos Aires
Lugha rasmi Kihispania
Serikali Jamhuri
Javier Mikei
Uhuru
Mapinduzi ya Mei
Tangazo la uhuru wa Argentina
imetambuliwa

25 Mei 1810
9 Julai 1816
1821
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
2,780,400¤ km² (ya 8)
1.1
Idadi ya watu
 - 2014 kadirio
 - 2010 sensa
 - Msongamano wa watu
 
42,669,500 (ya 32)
40,117,096
14.4/km² (ya 212)
Fedha Peso ya Argentina (ARS)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
ART (UTC-3)
ARST (UTC-3)
Intaneti TLD .ar
Kodi ya simu +54

-

¤ Argentina ina fitina na Uingereza kuhusu visiwa vya Falkland (Malvina), Visiwa vya South Georgia na South Sandwich na sehemu ya Antaktika.


Ramani ya Argentina
Salta

Argentina ni nchi kubwa ya pili ya Amerika Kusini. Ina eneo la km² 2,780,400 kati ya milima ya Andes upande wa magharibi na Bahari ya Atlantiki upande wa mashariki.

Imepakana na Paraguay, Bolivia, Brazil, Uruguay na Chile.

Kuna madai dhidi ya Uingereza juu ya visiwa vya Falkland (Malvina), Visiwa vya South Georgia na South Sandwich na sehemu ya Antaktika.

Watu[hariri | hariri chanzo]

Papa Fransisko, Papa wa kwanza kutoka Amerika, alitokea Argentina.

Wakazi wengi (97%) wana asili ya Ulaya na Mashariki ya Kati, hasa Italia (55%) na Hispania.

Lugha yao ya kawaida ni Kihispania na dini rasmi ni Ukristo wa Kanisa Katoliki (76.5%). Asilimia 9 ni Waprotestanti.

Miji[hariri | hariri chanzo]

Miji mikubwa zaidi ni:

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo ya Amerika Kusini

Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyani ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Argentina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.