Nenda kwa yaliyomo

Asa Akira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Akira mnamo Novemba 2016
Akira mnamo Novemba 2016

Asa Akira ni mwigizaji na mwongozaji wa filamu za ponografia wa Marekani.

Akira ameonekana katika zaidi ya filamu 505 za watu wazima hadi ilipofika Mei 2016. Mnamo mwaka 2013, alikuwa mwigizaji wa tatu wa Kiasia baada ya Asia Carrera na Stephanie Swift kushinda tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike wa mwaka.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Girls - CraveOnline". CraveOnline (kwa American English). Iliwekwa mnamo Juni 9, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asa Akira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.