Asya Mwadini Mohammed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Asya Mwadini Mohammed (alizaliwa 1 Aprili 1982) ni mwanasiasa Mtanzania ambaye amekuwa mwakilishi wa Viti Maalum vya wanawake ambapo anahudumu kama mbunge tangu mwaka 2020 kwa niaba ya chama cha kisiasa cha CHADEMA, ambacho hata hivyo hakijamkubalia. [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]