Nenda kwa yaliyomo

Atupele Fredy Mwakibete

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Atupele Fredy Mwakibete ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Busokelo kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017