Nenda kwa yaliyomo

Bernadi wa Parma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Bernadi alivyochorwa na Pietro Perugino.

Bernadi wa Parma (Firenze, Italia, 1060 hivi – Parma, Italia, 4 Desemba 1133) alikuwa mmonaki na mkuu wa urekebisho wa Wabenedikto wakaapweke wa Vallombrosa.

Alifanywa kardinali na askofu wa Parma kuanzia mwaka 1106 hadi kifo chake.

Tangu wakati huo aliheshimiwa kama mtakatifu. Mwaka 1139 Papa Inosenti II alipitisha sifa hiyo[1] [2].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 4 Desemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Salvador Miranda. "Uberti, O.S.B.Vall., Bernardo degli (ca. 1060-1133)". The Cardinals of the Holy Roman Church. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-09. Iliwekwa mnamo 27 Septemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/80450
  3. Martyrologium Romanum

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: