Bernardo wa Alzira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Altare ya Mt. Bernardo wa Alcira, Alcira.

Bernardo wa Alzira (jina la kuzaliwa: Ahmet Ibn Al-Mansur; Carlet, Valencia, Hispania, 1135 - Alzira, Valencia, 1181) alikuwa mwanamfalme Mwislamu aliyeongokea Ukristo na kuwa bradha wa urekebisho wa Wabenedikto wa Citeaux.

Kwa ajili hiyo, yeye na dada zake Maria na Grasya aliowaongoa hadi wakabatizwa, waliuawa kwa kisu mbele ya kaka yao [1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 21 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Henrion, Mathieu (Henrion Baron) (1854). Ancos Imp. ed. general history of the Church from the preaching of the apostles, to the reign of Gregory XVI ... Edition 2 . From Complutense University of Madrid. Digitized on 16 Apr 2008. ISBN 84-398-0974-3.
  • Zabala, Fernanda, Fernanda Rodriguez-Fornos Zabala (2003). Carena Editors, SL. ed. 125 Valencia in history . pp. 258. ISBN 8487398642.
  • Part Dalmau, Eduardo (1984). Commission Falla Plaza Mayor of Alzira. ed. From Al-Yazirat Jaime I. 500 years of the history of Alzira . pp. 211. ISBN 84-398-0974-3.
  • Anne Rosenblum, "Sts. Bernardo and Maria Gracia Alsirskie "/ / Live Tradition . - Moscoviae : MMX . - number I (III). - S. 17–18.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]