Denzel Washington

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Denzel Washington

Denzel Washington mwaka 2018
Amezaliwa Desemba 28, 1954
Kazi yake mwigizaji na mtengenezaji wa filamu wa Marekani

Denzel Hayes Washington Jr. (alizaliwa Desemba 28, 1954) ni mwigizaji na mtengenezaji wa filamu wa Marekani. Amekuwa akizungumziwa sana kama mwigizaji ambaye alirekebisha upya "dhana ya nyota wa sinema ya kawaida" na hivyo kuleta dhana ya kwamba nyota katika filamu anaweza akawa mtu tu wa kawaida lakini mwenye fani na ujuzi tofauti na vile alivyochukuliwa katika jamii.[1]

Katika kipindi chake chote cha kazi kwa zaidi ya miongo minne, Washington amepokea tuzo nyingi, zikiwa ni pamoja na tuzo ya Tony, tuzo mbili za Akademi, tuzo tatu za Golden Globe na Silver Bears mbili.[2] Mnamo 2016, alipokea Tuzo ya Mafanikio katika Maisha ya Cecil B. DeMille, na mnamo 2020, The New York Times alimtaja mwigizaji bora wa karne ya 21.[3] Mnamo 2022, Washington alipokea nishani ya rais ya Uhuru aliyopewa na Rais Joe Biden.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The Cine-Files » Denzel Washington: Notes on the Construction of a Black Matinee Idol" (kwa American English). Iliwekwa mnamo Agosti 25, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. =http://newsfeed.time.com/2010/06/14/denzel-washington-moves-one-step-closer-to-an-egot |
  3. Longmire, Becca (Novemba 26, 2020). "Denzel Washington Tops 'New York Times' '25 Greatest Actors of the 21st Century (So Far)' List". ET Canada. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-26. Iliwekwa mnamo Novemba 26, 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Denzel Washington, Simone Biles to Receive Presidential Medals of Freedom". The Hollywood Reporter. Associated Press. Julai 1, 2022. Iliwekwa mnamo Julai 1, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Denzel Washington kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.