Diether Ocampo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diether Ocampo.

Diether Ocampo Pascual, maarufu kama Diether Ocampo (alizaliwa 19 Julai 1976), ni mwigizaji wa filamu na mwimbaji kutoka nchi ya Ufilipino.

Ocampo ni mshirika wa ABS CBN's maarufu kama Star Magic. Pia ni mmoja kati ya wamiliki wa jarida la wanaume linalojulikana kama Uno.

Ocampo anashikilia rekodi ya kuwa msanii pekee aliyesimama kama nyota katika tamthilia nyingi(10) kuliko msanii yeyote nchini katika historia ya sanaa. Katika mwaka 2007 pekee, amesimama kama nyota katika tamthilia za “Palimos ng Pag-ibig”, “Rounin”, “Princess Sarah” na “Margarita”.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Filamu Aliigiza Kama
2005 Nasaan Ka Man Ito
2004 Bcuz of U RJ
2004 Volta Atty. Lloyd Ventura
2002 Bahid Rodney
2002 Jologs Mando
2001 Ano bang meron ka? Jason
2001 La Vida Rosa Dado
2000 Gusto ko ng Lumigaya Leo
2000 Bukas Na Lang Kita Mamahalin Jimboy
1999 Soltera Eric
1999 Gimik: The Reunion Gary Ballesteros
1999 Mula sa Puso: The Movie Michael Miranda
1999 Bakit Pa Joseph
1998 Magandang Hatinggabi Louie
1998 Dahil Mahal Na Mahal Kita Ryan
1997 Calvento Files: The Movie Rodolfo

Tamthilia[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Tamthilia Aliigiza Kama
2007 Princess Sarah Master Brandon
2007 Margarita Bernard
2007 Maalaala Mo Kaya: Blue Rose Lester
2007 Rounin Master Cadmus
2007 Sineserye Presents: Palimos ng Pag-ibig Rodel
2007 Love Spell: Click na Click Josh
2006 Star Magic Presents: The Game of Love Gary
2006 Komiks: Bahay ng Lagim
2006 Star Magic Presents: Windows to the Heart Dennis
2006 Komiks: Bampy
2005 Ikaw Ang Lahat Sa Akin Ivan Ynares
2005 Bora: Sons of the Beach Ditoy
2004 Marina Prinsipe Lirio
2004 'Til Death Do Us Part Manuel
2003 Sana'y Wala Nang Wakas Leonardo Madrigal
2003 Buttercup Winston Go
2001 Recuerdo de Amor Paulo Jose Villafuerte
1999 Saan Ka Man Naroroon Bart
1997 Mula Sa Puso Michael Miranda
1996 Super Laff In Host/Himself
1996 Gimik Gary Ballesteros
1995 ASAP Host/Himself

Muziki[hariri | hariri chanzo]

Mbele ya kipaza sauti, Diether Ocampo anajulikana kama “Kapteni Mongrel” na bendi yake inayojulikana kama “Blow”. Katika bendi yake yeye ni muimbaji kiongozi, akishirikiana vema na, Kessenth "Col. Cabron " Cheng (mpiga Gitaa la solo), Emil Buencamino (Mpiga ngoma), Jasper “Pepe” Ong (Muimbaji msaidizi), na Empi K. Martinez "Obi Wakantoti" (mpiga gitaa la besi). Mpaka sasa bendi ina albamu mbili, Nice & Hard (2003) na Rock Manila (2005). [1] Archived 29 Septemba 2007 at the Wayback Machine. [2] Archived 29 Septemba 2007 at the Wayback Machine.

Tuzo na Kuchaguliwa[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Filamu/Tamthilia Kama Shirika
2007 Palimos Ng Pag-ibig Muigizaji Bora (kachaguliwa) PMPC STAR AWARDS FOR TV
2006 Ikaw Ang Lahat Sa Akin Muigizaji bora mshindi PMPC STAR AWARDS FOR TV
2006 Nasaan Ka Man Muigizaji bora msaidizi mshindi GAWAD TANGLAW
2006 Nasaan Ka Man Muigizaji bora msaidizi (kachaguliwa) PASADO
2004 Sana'y Wala Nang Wakas Muigizaji Bora PMPC STAR AWARDS FOR TV
2002 La Vida Rosa Muigizaji Bora (kachaguliwa) GAWAD URIAN
2002 La Vida Rosa Muigizaji bora (kachaguliwa) FILM ACADEMY OF THE PHILIPPINES
2002 Kundi la kutumainiwa zaidi (The Hunks akiwa na Piolo Pascual, Bernard Palanca, Carlos Agassi, and Jericho Rosales) Guillermo Mendoza Memorial Scholarship Foundation Awards

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]