Nenda kwa yaliyomo

Ellef Ringnes Island

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Ellef Ringnes,Kanada

Ellef Ringnes Island ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Nunavut (Kanada).

Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 11,295, ila hakina wakazi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ellef Ringnes Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.