Felista Njau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Felista Deogratius Njau (alizaliwa Mkoa wa Kilimanjaro) ni mwanasiasa Mtanzania ambaye amekuwa mwakilishi wa Viti Maalum vya wanawake ambapo anahudumu kama mbunge tangu mwaka 2020 kwa niaba ya chama cha kisiasa cha CHADEMA, ambacho hata hivyo hakijamkubalia.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]