Nenda kwa yaliyomo

Fereolo wa Vienne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake huko Marseille.

Fereolo wa Vienne (alifariki Vienne, leo nchini Ufaransa, 303) alikuwa akida Mkristo aliyeuawa kwa imani yake kwa sababu wakati wa dhuluma, alikataa kukamata Wakristo. Hivyo kwa amri ya gavana alipigwa mijeledi kikatili akafungwa gerezani; akafaulu kukimbia, lakini akakamatwa tena akakatwa kichwa.[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 18 Septemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.