Herman wa Alaska

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Herman.

Herman wa Alaska (kwa Kirusi Преподобный Герман Аляскинский, Prepodobnyy German Alyaskinskiy; Serpukhov au Voronezh Governorate, Russia, 1750 hivi – Spruce Island, 15 Novemba 1836) alikuwa mmonaki wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi aliyefanya umisionari huko Alaska, leo jimbo la Marekani.

Tarehe 9 Agosti 1970 alitangazwa na Waorthodoksi kuwa mtakatifu na inatumika kwa sikukuu yake ya kila mwaka.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • "Address of the Great Council of Bishops of the Orthodox Church in America 11-13 March 1969, Concerning The Canonization of the Spiritual Father Herman of Alaska". Orthodox Church in America. Iliwekwa mnamo 18 Aprili 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • "Antiochian Village: St. Herman". Antiochian Orthodox Christian Archdiocese of North America. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Agosti 2012. Iliwekwa mnamo 8 Aprili 2013. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  • "Herman of Alaska: Missionary 1837". The Episcopal Church. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Juni 2013. Iliwekwa mnamo 18 Aprili 2013. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  • "Hierarchs and Clergy celebrating the Services of Canonization of St. Herman of Alaska". Orthodox Church in America. Iliwekwa mnamo 18 Aprili 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Korsun, Sergei (2012). Herman: A Wilderness Saint. Jordanville, NY: Holy Trinity Publications. ISBN 978-0-88465-192-5.
  • Kovalskaya, E. Yu. "German Alyaskinsky" (kwa Russian). Pravoslavnaya Entsiklopediya. Iliwekwa mnamo 10 Aprili 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Little Russian Philokalia, vol. III: St. Herman. Platina, CA: St. Herman of Alaska Press. 1988. ISBN 0-938635-32-8.
  • "Second Sunday after Pentecost: The Commemoration of All Saints of North America". Orthodox Church in America. Iliwekwa mnamo 8 Aprili 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Walsh, Michael J. (2007). A New Dictionary of Saints: East and West. Collegeville, MN: Liturgical Press. ISBN 978-0-8146-3186-7.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.