Nenda kwa yaliyomo

Hezekiah Ndahani Chibulunje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hezekiah Ndahani Chibulunje (amezaliwa tar. 15 Machi 1946) ni mbunge wa jimbo la Chilonwa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Hezekiah Ndahani Chibulunje". 10 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.