Nenda kwa yaliyomo

Hola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Hola, Kenya)
Hospitali ya Kaunti, Hola


Hola
Hola is located in Kenya
Hola
Hola

Mahali pa mji wa Hola katika Kenya

Majiranukta: 1°30′0″S 40°02′0″E / 1.50000°S 40.03333°E / -1.50000; 40.03333
Nchi Kenya
Kaunti Tana River
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 6,932

Hola (pia: Galole) ni mji wa Kenya na makao makuu wa kaunti ya Tana River[1]..

Mwaka 1999 ulikuwa na wakazi 6,932.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]