Nenda kwa yaliyomo

Jacob Dalali Shibiliti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jacob Dalali Shibiliti (amezaliwa tar. 12 Desemba 1960) ni mbunge wa jimbo la Misungwi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Jacob Dalali Shibiliti". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.