John Ssenseko Kulubya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Ssenseko Kulubya (193527 Agosti 2019), alikuwa mhandisi, mfanyabiashara, na mwanasiasa nchini Uganda. Aliripotiwa mwaka 2012 kuwa mmoja wa watu tajiri zaidi nchini Uganda . [1]

Historia na elimu[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa nchini Uganda mnamo 1935 (1934 kulingana na vyanzo vingine). Baba yake ni hayati Sserwano Ssenseko Wo Kulubya (CBE), ambaye alihudumu kama meya wa Kampala kuanzia mwaka 1959 hadi 1961, na alikuwa meya wa kwanza Mwafrika wa mji mkuu wa Uganda. Mama yake alikuwa Uniya Namutebi. [2] Alisomea Shule ya Buddo Junior, Kings College Budo na chuo cha makerere na Kampala Technical School (ambayo kwa sasa inajulikana kama Taasisi ya Kiufundi ya Kyambogo) na alihitimu kama mekanika mwaka wa 1952. Kijana Kulubya alipata mafunzo ya uhandisi. [3] [4]

Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Sssenseko Kulubya alikuwa Ameoa na alikuwa baba wa watoto wanne. [5]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Michael Kanaabi, and Ssebidde Kiryowa (6 Januari 2012). "The Deepest Pockets". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-20. Iliwekwa mnamo 11 Machi 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Ssenseko Kulubya : Omuddugavu eyasooka okumalako Safari Rally". www.bukedde.co.ug. 2015-03-17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-27. Iliwekwa mnamo 2019-08-27.
  3. Hafsah Nabayunga, and Kelvin Nsangi (25 Septemba 2007). "Kampala set to get new Mayor". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-28. Iliwekwa mnamo 11 Machi 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Walakira (9 Agosti 2012). "Full list of past mayors of Kampala, first woman mayor of Kampala, first woman acting mayor of Kampala, long serving mayor of Kampala". Weinformers.net (WIN). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 11 Machi 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Hafsah Nabayunga, and Kelvin Nsangi (25 Septemba 2007). "Kampala set to get new Mayor". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-28. Iliwekwa mnamo 11 Machi 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)Hafsah Nabayunga, and Kelvin Nsangi (25 September 2007). "Kampala set to get new Mayor" Archived 28 Agosti 2018 at the Wayback Machine.. Daily Monitor. Kampala Retrieved 2016
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Ssenseko Kulubya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.