Joji Preca

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joji Preca (kwa Kimalta: Ġorġ; La Valletta, Malta, 12 Februari 1880[1] - Santos Vendroob, Malta, 26 Julai 1962) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Malta aliyeshughulikia hasa malezi na katekesi ya vijana[2]. Kwa ajili hiyo alianzisha Shirika la Mafundisho ya Kikristo ili kuonyesha Neno la Mungu linavyofanya kazi ndani ya taifa lake.

Ndiye aliyebuni mafumbo ya mwanga ya Rozari[3].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza kuwa mwenye heri tarehe 9 Mei 2001[4], na Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 3 Juni 2007, wa kwanza kutoka nchi hiyo ya Ulaya visiwani[5].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyoaga dunia[6].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Remembering San Ġorġ Preca: a masterpiece of God's wisdom". Times of Malta (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2020-04-23.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90057
  3. Formosa, John (2004). "Dun Gorg - San Gorg Preca". Museum San Giljan. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Julai 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Jubilee Pilgrimage to Greece, Syria and Malta: Mass with Beatifications - "Granaries" of Floriana, Malta (9 May 2001) | John Paul II". w2.vatican.va. Iliwekwa mnamo 2020-04-23.
  5. "The First Maltese Saint: Dun Gorg Preca – A biography". Malta Independent. Iliwekwa mnamo 11 Septemba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.