Krodegangi wa Metz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Krodegango katika kioo cha rangi.

Krodegangi wa Metz (alizaliwa Hesbaye, leo nchini Ubelgiji; alifariki Metz, leo nchini Ufaransa, 6 Machi 766) alikuwa askofu wa mji huo tangu mwaka 742 au 748 akibaki chansela wa mfalme Karolo Nyundo, ndugu yake.

Alidai waklero wanajimbo waishi kama monasterini akaandika pia kanuni maarufu kwa jumuia zao za kikanoni iliyoandaa urekebisho wa Kanisa la Ulaya magharibi utakaofanywa na kaisari Karolo Mkuu[1][2][3]. Pia alistawisha uimbaji katika liturujia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Drout, Michael D. C. “Re-Dating the Old English Translation of the Enlarged Rule of Chrodegang: The Evidence of the Prose Style.” The Journal of English and Germanic Philology, vol. 103, no. 3, 2004, pp. 341–368. JSTOR
  2. Claussen, M.A., Review of Bertram, Jerome. The Chrodegang Rules: The Rules for the Common Life of the Secular Clergy from the Eighth and Ninth Centuries. Critical Texts with Translations and Commentary. Church, Faith and Culture in the Medieval West. Aldershot and Burlington, VT: Ashgate, 2005. Pp. 304. $99.95. ISBN|0-7546-5251-3 in The Medieval Review, June 8, 2016
  3. Szarmach, Paul E., "Chrodegang", Routledge Revivals: Medieval England (1998), (Paul E. Szarmach, M. Teresa Tavormina, Joel T. Rosenthal, eds.), Taylor & Francis, 2017, ISBN|9781351666374
  4. "The Pre-Schism Orthodox Saints who evangelized Western Europe & the Scandinavian Lands". Orthodox Outlet for Dogmatic Enquiries. Iliwekwa mnamo 2017-11-14.
  5. Martyrologium Romanum

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.