Nenda kwa yaliyomo

Lupus wa Sens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Lupus wa Sens akigawa sadaka; mchoro mdogo wa karne ya 14.

Lupus wa Sens (au Loup wa Sens) (573 hivi - 623 hivi)[1] alikuwa askofu wa 19 wa Sens, Ufaransa.

Alikuwa mtoto wa Betton, kabaila wa Tonnerre, kutoka ukoo uliotawala Burgundy.[1] Kwa ushujaa alitamka mbele ya sharifu kwamba watu wanatakiwa kuongozwa na padri na kumtii Mungu kuliko watawala wa kisiasa. Kwa sababu hiyo alipelekwa uhamishoni[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Septemba[3][4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.