Maimuna Mtanda
Maimuna Salum Mtanda (alizaliwa Januari 9, 1986), ni mwanasiasa Mtanzania akihudumu kama Mbunge wa Chama cha Mapinduzi kwa Jimbo la Newala Vijijini tangu Novemba 2020. [1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Wasifu Wa Wabunge". Bunge La Tanzania.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |