Maral Artin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maral Artin (alizaliwa 9 Juni 2000, Ujerumani) ni mchezaji wa soka wa Armenia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa Klabu ya Ufaransa ligi daraja la pili ya Féminine kwenye klabu ya Arras FCF na timu ya taifa ya Armenia.[1]

Alizaliwa nchini Ujerumani na alikua bingwa wa B-Juniorinen Bundesliga.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Կանանց ազգային հավաքական". Football Federation of Armenia (kwa Kiarmenia). Iliwekwa mnamo 30 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maral Artin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.