Maria De Mattias

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Maria De Mattias (Vallecorsa, mkoa wa Lazio, Italia ya Kati, 4 Februari 1805 - Roma, 20 Agosti 1866) alikuwa bikira aliyeanzisha shirika la kitawa linaloitwa Masista Waabuduo Damu ya Kristo[1][2], ambao kwa sasa ni karibu 2,000 na wameenea hata Tanzania[3].

Alitangazwa mwenyeheri na Papa Pius XII tarehe 1 Oktoba 1950, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 18 Mei 2003.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Maria De Mattias", Vatican News Service
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90063
  3. ""History of the Adorers of the Blood of Christ", Newman University". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-22. Iliwekwa mnamo 2021-08-15.
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo kwa Kiswahili[hariri | hariri chanzo]

  • R. LAURITA – Sherehe ya Uhai, Mtakatifu Maria De Mattias – tafsiri ya O. Kayombo, C.P.P.S., – ed. du Signe, Eckbolsheim 2003 – ISBN 2-7468-0994-X

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.