Nenda kwa yaliyomo

Masimo wa Yerusalemu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Masimo wa Yerusalemu (alifariki 350 hivi) alikuwa askofu wa Yerusalemu kuanzia mwaka 333 hivi hadi kifo chake[1].

Wakati wa dhuluma ya kaisari Maximinus Daia alinyofolewa jicho na kuunguzwa mguu, pia alitumwa migodini kufanya kazi ya shokoa. Baadaye alifanywa askofu[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Mei[3][4] au 9 Mei[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92770
  2. McClintock, John; Strong, James (1891). Cyclopaedia of Biblical, Theological, and Ecclesiastical Literature. Juz. 5. Harper & brothers. uk. 919. Iliwekwa mnamo 10 Aprili 2009.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Martyrologium Romanum, 2004
  4. "Saint of the day". Saint Patrick Catholic Church, Washington D.C. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-04-08. Iliwekwa mnamo 4 Aprili 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. (Kigiriki) Ὁ Ἅγιος Μάξιμος Πατριάρχης Ἱεροσολύμων. 9 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.