Morandi wa Douai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Morandi.

Morandi wa Douai (pia: Maurand, Maurant, Mauront, Morand, Maurontus; 634 - 5 Mei 702) alikuwa mmonaki shemasi nchini Ufaransa ambaye alianzisha monasteri ya Kibenedikto ya Breuil, akawa abati wake wa kwanza [1][2][3][4].

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, sawa na wazazi wake, Adalbati na Rikitrude, na dada zake wote watatu, Klotsinda, Adalsinda na Eusebia wa Douai, mwenyewe akiwa mtoto wa nne na wa mwisho.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Mei[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Saint of the Day - May 5". St. Patrick Catholic Church. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-04-08. Iliwekwa mnamo Novemba 11, 2018. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Litany from Douai 14th century Archived 2015-03-28 at the Wayback Machine
  3. "Den hellige Maurontus av Douai (634-~701)". Katolsk (kwa Kinorwe). Iliwekwa mnamo Novemba 11, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/52875
  5. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • (Kifaransa) Claude Roussel, La Belle Hélène de Constantinople, Droz, Genève, 1998. ISBN 2-600-00266-9
  • (Kifaransa) Claude Malbranke, Guide de Flandre et Artois mystérieux, page 91-92, Presse Pocket, Paris, 1966.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.