Nenda kwa yaliyomo

Mto Luanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Luanga unapatikana magharibi mwa Tanzania.

Maji yake yanaishia katika ziwa Nyagamoma, ziwa Tanganyika, mto Kongo na hatimaye katika Bahari Atlantiki.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]