Nuhu Abdullahi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nuhu Abdullahi Balarabe (alizaliwa 3 Januari 1991) ni muigizaji na muandaaji wa filamu wa Nigeria,[1] alizaliwa na kukulia katika jimbo la Kano. Nuhu ni mmoja wa wasanii wakubwa wa filamu kutoka Kannywood , huigiza filamu katika lugha za Kihausa na Kiingereza. alishinda tuzo ya City People Entertainment Awards kama muigizaji bora mwaka 2015,[2]

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Nuhu Abdullahi alijiunga na Kannywood film industry mwaka 2009 kama mtayarishaji wa filamu ,na alitayarisha filamu mbalimbali ikiwemo Baya da Kura, Fulanin Asali, Kuskure, Mujarrabi, na nyingine nyingi.[3] Nuhu alianza kutokea katika filamu ya kwanza ya Ashabul Kahfi, na kupata mashabiki wengi Nuhu Abdullahi huigiza katika Kannywood Pamoja na Nollywood

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Lere, Muhammad (22 Septemba 2015). "I want popular actress, Fati Washa, as my wife – Kannywood actor – Premium Times Nigeria". Premium Times News. Iliwekwa mnamo 23 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Lere, Muhammad (18 Agosti 2015). "Kannywood: Rahama Sadau, Adam Zango, others win at City People awards 2015 – Premium Times Nigeria". Premium Times News. Premium Times News. Iliwekwa mnamo 23 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Nathaniel, Nathan. "I Love Fati Washa As Wife, But I'm Not Ready for Marriage…Actor, Nuhu Abdullahi". thenigerianvoice.com. Iliwekwa mnamo 23 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nuhu Abdullahi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.