Salim Yussuf Mohamed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salim Yussuf Mohamed (amezaliwa tar. 22 Aprili 1956) ni mbunge wa jimbo la Kojani katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Salim Yussuf Mohamed". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.