Sandra Hunt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sandra Hunt (alizaliwa Juni 14, 1959) alikuwa mwamuzi wa mpira wa miguu kutoka nchini Marekani.

Alikuwa mwamuzi wa FIFA tangu 1999 hadi 2004 [1] na kwa sasa anafanya kazi kama mkufunzi wa waamuzi wa shirika la Professional Referee Organisation (PRO). [2]

Hunt alichaguliwa kuchezesha michuano ya Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mnamo 1999 na 2003. [3] .

Hunt alianza kazi ya uamuzi mwaka 1987. Mnamo Agosti 1998 Hunt alikua mmoja wa wanawake wawili wa kwanza kuchezesha ligi ya Major League Soccer (MLS), pia alichezesha katika Shirikisho la Soka la Wanawake (WUSA). [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Scoggins, Chip (Juni 19, 1999). "Spotlight Also Shines On Women Referees". Chicago Tribune. Iliwekwa mnamo Desemba 27, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "PRO Support Staff Roster". PROreferees.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-01-30. Iliwekwa mnamo Desemba 27, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Match Report". FIFAworldcup.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 13, 2004.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "U.S. Soccer and FIFA Referee Sandra Hunt Officiates Final Game of Illustrious Career". United States Soccer Federation. Oktoba 22, 2004. Iliwekwa mnamo Desemba 27, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sandra Hunt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.