Tenka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tenka la mafuta.

Tenka (kutoka Kiingereza "tanker") ni gari lenye tangi kubwa linalotumiwa kubebea na kusafirisha viowevu kama vile mafuta, maji, gesi n.k.