Uislamu nchini Liberia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msikiti mjini Voinjama.
Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Liberia unakadiriwa kufuatwa na watu karibia asilimia 12.2 ya idadi ya wakazi wote wa nchini humo.[1]

Sehemu kubwa ya Waislamu wa Liberia ni wale wanaofuata mafundisho ya Maliki dhehebu la Sunni, kukiwa na idadi kiasi ya Shia na Ahmadiyya.[2] Kundi kubwa la Waislamu nchini humo ni la kabila la Wavai na Mandingo lakini pia Wagbandi, Kpelle na jamii zingine ndogondogo.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "International Religious Freedom Report 2010: Liberia". United States Department of State. Novemba 17, 2010. Iliwekwa mnamo Julai 22, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "The World's Muslims: Unity and Diversity" (PDF). Pew Forum on Religious & Public life. Agosti 9, 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-10-24. Iliwekwa mnamo Agosti 14, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Larkin, Barbara (2001). International Religious Freedom (2000): Report to Congress by the Department of State. uk. 46.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]