Nenda kwa yaliyomo

Vinsenti Grossi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vinsenti Grossi (Pizzighettone, karibu na Cremona, 9 Machi 1845 – Vicobellignano, 7 Novemba 1917) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia Kaskazini.

Alianzisha shirika la kitawa la Mabinti wa Oratori[1].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI tarehe 1 Novemba 1975, halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 18 Oktoba 2015[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Blessed Vincenzo Grossi (in Italian)". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 6 Mei 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Holy mass and canonization of the blesseds: Vincenzo Grossi, Mary of the Immaculate conception, Ludovico Martin and Maria Azelia Guérin, Homily of his holiness Pope Francis Saint Peter's Square 29th Sunday in Ordinary Time, 18 October 2015 vatican.va
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.