Adamson Sigalla Norman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adamson Sigalla Norman (alizaliwa 10 Julai 1970) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Aliwahi kuwa katika kamati ya bunge la Afrika mashariki kuanzia 2001 hadi 2006. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Makete kwa miaka 20152020. [1] [2] Amehitimu shahada ya uzamivu (PhD) katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://peoplepill.com/people/norman-king-3/
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017