Nenda kwa yaliyomo

Ahmed Ally Salum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ahmed Ally Salum (amezaliwa tar. 28 Juni 1966) ni mbunge wa jimbo la Solwa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Ahmed Ally Salum". 21 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.