Nenda kwa yaliyomo

Akhmim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akhmim (Kiarabu: أخميم, inatamkwa [ʔæxˈmiːm]; Kikoptiki cha Akhmimic: ⳉⲙⲓⲙ, inatamkwa [xmiːm]; Sahidic/Bohairic Coptic: ϣⲙⲓⲛ inatamkwa [ʃmiːn]) ni jiji lililopo katika utawala wa sohag kanda za juu za Misri.Inajulikana na Wagiriki wa kale kama Khemmis au Chemmis (Kigiriki: Χέμμις)[1] na Panopolis (Kigiriki: Πανὸς πόλις),[2] ipo kwenye ukingo wa mashariki wa Nile, maili nne (kilomita 6.4) kaskazini mashariki mwa Sohag. ====

eneo ndani ya Misri [3]
Msikiti wa mtoto wa mfalme Hasan

PichaPicha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]