Nenda kwa yaliyomo

Allan Ngumuya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Allan Ngumuya
Amezaliwa
Zingwangwa, Blantyre
Nchi Malawi
Kazi yake Msanii na Mwanasiasa


Allan Ngumuya ni msanii wa injili na mwanasiasa wa nchini Malawi . Ni mmoja wa washiriki mahiri wa tasnia ya muziki ya Malawi. [1] Mnamo 2003 alitoa albamu iloyojulikana kwa jina la I've Got Hope . [2]

Ngumuya alizaliwa na kukulia Zingwangwa, Blantyre, alijitosa kwenye tasnia ya muziki mwaka 1988 na kuzindua albamu yake ya kwanza ya 'Nthawi'. Ngumuya alijiunga na siasa baada ya kufanikiwa kuwania jimbo la Blantyre City Kusini kama mgombea binafsi mwaka 2014. Hata hivyo, Ngumuya alijiunga na chama tawala cha Democratic Progressive Party (DPP) mara baada ya uchaguzi.

Mnamo 7 Julai 2020, Ngumuya alipatikana na COVID-19. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Broughton, Simon; Ellinham, Ellis; Trillo, Richard (1999). Africa, Europe and the Middle East: Volume 1 of World Music. Rough Guides. uk. 538. ISBN 978-1-85828-635-8. Iliwekwa mnamo 17 Novemba 2010.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. [Allan Ngumuya katika Allmusic "Overview: I've Got Hope"]. Allmusic. Iliwekwa mnamo 17 Novemba 2010. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Malawi: Ngumuya Tests Positive for COVID-19 - Admitted to Queen's Hospital". 8 Julai 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)