Nenda kwa yaliyomo

Aloyce Bent Kimaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aloyce Bent Kimaro (amezaliwa tar. 24 Juni 1953) ni mbunge wa jimbo la Vunjo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Aloyce Bent Kimaro". 17 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.