Amanda Ilestedt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ilestedt akiichezea Arsenal dhidi ya Everton

Amanda Ilestedt (alizaliwa 17 Januari 1993)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uswidi ambaye anacheza kama mlinzi wa klabu ya Division 1 Féminine Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Uswidi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "FIFA Women's World Cup France 2019: List of Players" (PDF). FIFA. 27 Mei 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 8 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 28 Julai 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amanda Ilestedt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.