Binx

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Binx (alizaliwa 26 Februari, 1992) ni mwimbaji na pia ni mwanamuziki wa nchini Afrika Kusini. [1]

EP yake ya kwanza, The African Bee, ilipokelewa vyema na mashabiki bila kukosolewa. [2] [3]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Binx alizaliwa Bianca Carmen Buys huko Elliot, Afrika Kusini mwaka 1992, na kuhamia London Mashariki, Afrika Kusini na familia yake mwaka 2002. [4] [5] Alihamia Manhattan, New York mwaka 2012. [6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Live Review: Binx Buys at Webster Hall in New York". www.musicconnection.com. 11 Agosti 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Meet Binx: The African Bee". 1 Novemba 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-05-14. Iliwekwa mnamo 2022-05-14.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "EL's Buys to bring her New York act home". 20 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Phandle, Gugu (1 Septemba 2015). "VIDEO: Starstruck Binx in awe after pre-US Open gig".{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Kingon, Sarah (22 Septemba 2016). "African Bee on a buzz abroad - GO! & Express".{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "PressReader.com - Connecting People Through News". www.pressreader.com.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Binx kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.