Nenda kwa yaliyomo

Chris Delvan Gwamna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Christopher Delvan Gwamna Ajiyat
Amezaliwa 12 december 1960
nigeria
Nchi Nigeria
Majina mengine Christopher Delvan Gwamna Ajiyat
Kazi yake mchungaji kiongozi wa The New Life Pastoral Center (New Life Assembly)

Christopher Delvan Gwamna Ajiyat (alizaliwa Kagoro, Jimbo la Kaduna, Nigeria, 12 Desemba 1960) ni mwimbaji wa nyimbo za Injili, mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria[1] na mchungaji kiongozi wa The New Life Pastoral Center (New Life Assembly), [2] yenye makao yake huko Kaduna. [3] [4]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Gwamna alihitimu Chuo Kikuu cha Ahmadu Bello katika miaka ya 1980 na shahada ya kwanza katika historia na sayansi ya siasa.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Gwamna na mkewe, Anna (pia mchungaji), walizaa watoto wawili, Joel na Salamatu. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "ALL MUSIC: CHRIS DELVAN GWAMNA". 6 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Adefowokan, Ebunoluwa E. (2019). "PROMOTING INTERNATIONALISM? EXAMINATION OF THE" (PDF). University of Northern British Columbia. Iliwekwa mnamo Oktoba 20, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 3.0 3.1 "Biography Of Chris Delvan". 11 Oktoba 2016. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Day Pastor Chris bags Mentorship Award in Kaduna….Honour well deserved – Associates". 26 Aprili 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-18. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chris Delvan Gwamna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.