Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki ni chuo kikuu binafsi kilichopo katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania.[1] Kinatambuliwa nchini Tanzania na kimethibitishwa na tume ya vyuo vikuu nchini Tanzania. Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki kilianzishwa mwaka 1997, na kilikuwa chuo cha mwanzo binafsi kupatiwa uthibitisho mwezi Juni mwaka 2000.

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki kinatoa shahada, stashahada na astahashada katika fani zifuatazo:

Shahada ya Kwanza[hariri | hariri chanzo]

  • Shahada ya Udaktari (Miaka 5)
  • Shahada ya Sayansi ya Uuguzi (Miaka 4)

Shahada za Uzamivu[hariri | hariri chanzo]

  • Shahada ya uzamivu ya afya ya watoto (Miaka 3)

Stashahada[hariri | hariri chanzo]

  • Stashahada ya Uuguzi (kwa wasioko kazini) - (Miaka 3)
  • Stashahada ya Uuguzi kwa walioko kazini - (inatolewa kwa njia ya mtandao)- (Miaka 2)

Astashahada[hariri | hariri chanzo]

  • Astashahada ya Uuguzi (Miaka 2)
  • Astashahada ya Ukunga (Miezi 6)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Orodha ya Vyuo Vikuu" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 24 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2013. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Kumbukumbu cha Hubert Kairuki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.