Nenda kwa yaliyomo

Ellie Goulding

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ellie Goulding

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Elena Jane Goulding
Amezaliwa 30 Desemba 1986 (1986-12-30) (umri 37)
Aina ya muziki Pop
Kazi yake Mwimbaji, mwanamuziki
Ala Sauti
Miaka ya kazi 2009-hadi leo
Studio Interscope Records
Tovuti elliegoulding.com

Elena Jane Goulding (alizaliwa 30 Disemba 1986) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo nchini Uingereza.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alianza kazi alipokutana na watayarishaji wa muziki Starsmith na Frankmusik, na baadae akaonekana na Jamie Lillywhite, ambae baadae akawa meneja wake.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "The BRIT Awards 2013". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Februari 2013. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ellie Goulding kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.