Nenda kwa yaliyomo

Ezekiel Magolyo Maige

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ezekiel Magolyo Maige (amezaliwa tar. 28 Machi 1970) ni mbunge wa jimbo la Masalala katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. ["Mengi kuhusu Ezekiel Magolyo Maige". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 2011-11-04. Mengi kuhusu Ezekiel Magolyo Maige]

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]