Nenda kwa yaliyomo

Felix Ntibenda Kijiko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Felix Ntibenda Kijiko (amezaliwa tar. 28 Oktoba 1954) ni mbunge wa jimbo la Muhambwe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. ["Mengi kuhusu Felix Ntibenda Kijiko". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-05. Iliwekwa mnamo 2010-11-13. Mengi kuhusu Felix Ntibenda Kijiko]