Nenda kwa yaliyomo

George Malima Lubeleje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

George Malima Lubeleje (amezaliwa tar. 12 Februari 1950) ni mbunge wa jimbo la Mpwapwa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu George Malima Lubeleje". 13 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]